Tathmini ya uwezo wa shirika kujiendesha kitaalamu
Tathmini ya uwezo wa shirika kujiendesha kitaalamu
Kaimu Mhasibu wa Shirika la Elisha Fashion and Design Youth Support Foundation Bi. Tusekile Jalileni, akiwasilisha tathmini ya uwezo wa shirika kujiendesha kitaalamu, katika kikao cha siku mbili kilichofanyika tarehe 28 hadi 29, Mwezi wa Nne, 2026.
Kikao ambacho kiliongozwa na wataalamu kutoka Foundation for Civil Society (FCS) chini udhamini wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughurika na watoto, UNICEF.
Elimu ya kujitathimini, ambayo kwa kimombo ijulikanayo kama Organization Capacity Assessment (OCA) ilitolewa kwa mashirika yote Tisa Mkoa wa Songwe, yaliyoweza kushiriki katika mafunzo hayo. Mafunzo yaliyolenga kujengea uwezo ili hatimaye, kunufaisha watoto na vijana.