EFAD WATEMBELEWA NA MKUU WA WILYA YA MBOZI
EFAD WATEMBELEWA NA MKUU WA WILYA YA MBOZI
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mhe. Hamad Mbega(Wa tatu Kutoka Kushoto), katibu Tawala msaidizi na Mratibu msaidizi wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali wilaya ya Mbozi Tumpale Mndekesye(Wa Pili Kutoka Kulia) kwenye ziara ya pamoja kutembelea Mashirika yasiyo ya kiserikali yanayotekeleza miradi yao ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoani songwe.